01
Mwanafunzi lazima aingie na kujifunza ili kuacha ushahidi kuwa amejifunza.
02
Video za mafunzo ya Ujumbe zimehifadhiwa kwenye hard drive disk (kadi sakima) na kupeanwa. Video zinaweza kutumika katika maeneo ya kufundishia kwa wanachama kujifunza theolojia (Biblia) kupitia monitor ya computa.
03
Kama tuvuti ya Mission imefungwa, tembelea www.abcts.org au www.garakdb.org na wasiliana na true323@naver.com au agape323@gmail.com
04
Kwa video zaidi za mafunzo, tembelea tovuti zinazohusiana kwa www.abcts.org, www.abctss.org au www.abctsm.org.
05
Wale watakaomaliza masomo yao watapewa cheti. Wale wanaotaka shahada au diploma wanaweza kuwasiliana na ofisi kuu ya Mission. Tutakuongoza kwa hatua zinazohitajika.
06
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi kuu ya Mission kupitia barua pepe hii true323@naver.com au agape323@gmail.com
07
Tafuta ABCMISSION kwa YouTube (www.youtube.com) kuona video zaidi.
08
If a member argues that the Bible is not the inerrant, infallible Word of God, then the member will be expelled from the Mission. Also, if a member who has completed the studies argues that the Bible is not the inerrant, infallible Word of God, then the Mission will deprive the member of his/her degree and remove his/her name off the Mission registry.
09
만일 회원이 비성서적인 주장을 하거나 이단과 사이비한 사상을 주장하면 공부했던 모든 근거를 지우고, 제명 처리합니다.